KIOTA KIPYA CHA MARAHA.. MAHSUSI KWA WAKAZI WA LINDI "FRIENDS LOUNGE" SASA IMEFUNGULIWA

Hii ni Habari Njema kwa wakazi wa manispaa ya Lindi, Kiota kiota Kipya cha Maraha kimefunguliwa Rasmi Unaweza Pata Huduma Mbali mbali za Chakula na Vinjwaji Huku ukisikiliza Muziki Mzuri.
Friends Lounge Ndio Habari ya Mujini Kwa sasa Karibu Upate Huduma Bora yenye thamani ya Pesa yako

Kwa Upande wa Chakula Utapata:
NYAMA CHOMA
WALI KUKU, SAMAKI, ROST MAIN
UGALI KUKU, SAMAKI, ROST MAIN
MCHEMSHO WA MBUZI, NG'OMBE NA KUKU
NDIZI NYAMA NA MAKANGE
BILA KUSAHAU FOIL YA NG'OMBE

VINYWAJI: 
HAPA UTAPATA AINAZOTE ZA VINYWAJI VILIVYOTHIBITISHWA NA TBS

KARIBUNI SANA FRIENDS LOUNGE : TUPO NYUMA YA UWANJA WA ILULU

HAPA NDIPO PENYEWE....!!!! CHEKI MANDHALI
Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi


Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi

Friends Lounge Lindi


Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post