HIZI NDIO ATHARI ZA MVUA ZINAZOENDELEA NCHINI TANZANIA


matokeo ya mvua tanzania
Daladala inayofanya safari zake jijini Arusha ikiwa imeingia katika mtaro baada ya mvua kubwa kunyesha jana katika eneo la sombetini
matokeo ya mvua tanzania
Wanafunzi wa shule ya msingi sombeti wakiwa katika kibaraza cha duka baada ya mvua kubwa kunyesha katika jana
matokeo ya mvua tanzania
Hali ilivyo mitaa ya Kiangu Mkoani Mtwara hii ni kutokana na Mvua zilizo nyesha Jana na Leo..
matokeo ya mvua tanzania
Maeneo korofi kuanzia Eneo la Kimambi Wilaya ya Liwale na Njinjo - Kilwa Hali nddio Ipo hivyo (angalia Picha Juu), Abiria hulazimika Kushuka na Kuanza Kusukuma Gari.
matokeo ya mvua tanzania

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post