
Baada ya msako mkali wa kijana aliye hack namba za simu za wasanii Ay na Fid q, hatimaye polisi wamefanikiwa kumkamata kijana huyu.
Kupitia instagram msanii Fid Q na AY waetufahamisha kuwa kijana aliyekamatwa kwa kosa hilo ni Ahmed na ni mwanafunzi wa mwaka wa pili wa chuo cha Ifm.
Tags
HABARI ZA KITAIFA