Unknown Unknown Author
Title: ELIZABETH MICHAEL ( @OfficialLuluM ) AWAPA MAKAVU LIVE FOLLOWERS WAKE, HII NI BAADA YA KUAMBIWA AWEKE VITU VYA MAANA...!!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
M sanii Elizabeth Micheal (lulu) leo Hii amewafungukia Followers wake kwa Kuwapa Makavu live Huwa siongezagi neno Hebu soma mwenyewe Ujumbe...
Msanii Elizabeth Micheal (lulu) leo Hii amewafungukia Followers wake kwa Kuwapa Makavu live Huwa siongezagi neno Hebu soma mwenyewe Ujumbe huu hapa hii ni Baada ya Kutupia Picha HIZI HAPO CHINI...
Elizabeth Micheal ( LULU)

"Pipo always have smthng to complain.....Sasa MTU Na akili yake timamu anakuja ku comment on my post ohhhh Weka vitu vya maana😂😂😂kweli!?nwei kwasababu SIKO ktk harakati za kubishana au kugombana nitatoa ushauri tu.....
1.hyo button Ya Ku follow Cdhani kama ina Sumaku kwenye jina langu useme imekuvuta,fanya uamuzi sahihi kabla hujabadilisha hyo blue kuwa green
2.this z ma personal acc....sio account Ya dunia Na Ndo maana hata wengi wenu mnao comment pumba post zenu ️ni za ovyo Lkn wala hatujawahi kuwalalamikia
3.Kama mtu unaona unahitaji kuona sana vitu vya maana unaweza ku follow BBC,CNN,ALJAZEERA kuna TBC,ITV Na vyombo vingi vya Habari Na huwa wana acc humu...!U can't deal wth my shits taratibu change green to blue....kunifollow ️ni kama kupima tu nikimaanisha ni HIARI..!j/pili Njema❤️"


PICHA ZENYEWE HIZI HAPA::
Elizabeth Micheal ( LULU)

Elizabeth Micheal ( LULU)

Elizabeth Micheal ( LULU)

Elizabeth Micheal ( LULU)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top