DOWNLOAD BRAND NEW MUSIC AUDIO :: AVRIL FT OMMYDIMPOZ - HELLO BABY
byUnknown-
0
Hii kazi mpya ya Avril ambayo ameshirikishwa msanii kutoka Tanzania ‘Ommy Dimpoz’ . Avril amesema mapema mwaka huu kuwa ni kazi iliyozungumziwa kwa miaka zaidi ya miwili ila mwaka huu ndio wamepata muda pamoja wa kufanya wimbo.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...