BREAKING NEWS:: VIGOGO WAWILI WA SERIKALI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUPOKEA RUSHWA KATIKA AKAUNTI YA ESCROW

LindiYetuBlog News
HABARI Zilizotufikia hivi punde:Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa TAKUKURU nchini imewafikisha mahakamani watuhumiwa wawili kwa tuhuma za kupokea rushwa katika Akaunti ya Tegeta Escrow katika mahakama Kisutu jijini Dar es Salaam,

Waliofikishwa mahakamani hii leo ni Teophil John ambaye ni Mhandisi wa Wizara ya Nishati na Madini na Rugonzibwa Teophili ambaye ni Afisa wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA).

Endelea kufuatilia habari zetu hapa Kujua kwa kina.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post