Unknown Unknown Author
Title: AMBER ROSE AZIDI KUMWAGA RADHI MTANDAONI...LEO ATUPIA PICHA TATA ZINGINE TENA!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Amber akipozi na juisi yake. MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtanda...
Amber Rose
Amber akipozi na juisi yake.
MWANAMITINDO Amber Rose ameamua kutupia picha nyingine zinazoonyesha sehemu ya mwili wake katika mtandao wa Instagram.

Amber ametupia picha hizo jana ikiwa ni siku moja tangu aweke picha zeke nyingine zilizokuwa zikionyesha maungo yake akiwa katika vazi la bikini nyeusi. (KAMA HUJAZIONA BOFYA HAPA)

Amber mwenye miaka 31, mama wa mtoto mmoja, ametupia picha hizo jana zenye unafuu kidogo kuliko za juzi akiwa katika kivazi cha kijani kikionyesha bikini yake ya kijani pia kwa ndani.

Staa huyo alikuwa katika pozi tofauti wakati akijiachia na marafiki zake kwenye hoteli moja jijini Miami nchini Marekani.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top