ZIJUE REKODI KUBWA ZILIZOVUNJWA KWENYE MTANDAO WA TWITTER DUNIANI KWA MWAKA WA 2014

Twitter
Mwaka 2014 unaelekea kuisha, moja ya vitu ambavyo tunavitazama zaidi kwenye mwezi huu Desemba ni zile rekodi kubwa ambazo zimetokea ndani ya mwaka huu.
Unajua mitandao ya kijamii imekuwa inazidi kushika kasi kila kunapokucha, Twitter ikiwa moja ya mitandao hiyo.
Leo nimekuwekea baadhi ya rekodi kubwa ambazo zimevunjwa kwenye mtandao huo kwa mwaka huu 2014.
Msanii ambaye zimeandikwa Tweet nyingi zaidi kuhusu yeye:
1. Justin Bieber
2. Niall Horan
3. Harry Styles
4. Liam Payne
5. Ariana Grande
6. Demi Lovato
7. Lady Gaga
8. Beyonce
9. Louis Tomlinson
10. Taylor Swift
Wasanii ambao wamepata followers wengi zaidi kwenye Twitter mwaka 2014:
1. @KatyPerry: gained 13 million followers
2. @JustinBieber: gained 11 million followers
3. @TaylorSwift13: gained 10 million followers
4. @ArianaGrande: gained 9.5 million followers
5. @JTimberlake: gained 9.1 million followers
6. @SelenaGomez: gained 7.9 million followers
7. @DDlovato: gained 6.2 million followers
8. @Rihanna: gained 6.2 million followers
9. @BritneySpears: gained 6.1 million followers
10. @OneDirection: gained 5.5 million followers
Fans wa Wasanii ambao wameandikwa kwenye Tweet nyingi zaidi mwaka 2014.
1. Beliebers -­ (Justin Bieber )
2. Directioners -­ (One Direction)
3. Animals -­ (Ke$ha)
4. Lovatics -­ (Demi Lovato)
5. Sones -­ (Girls’ Generation)
6. Rihanna Navy -­ (Rihanna)
7. Mahomies/Mahonies -­ (Austin Mahone)
8 Swifties -­ (Taylor Swift)
9 Aliens -­ (Tokio Hotel)
10.Selenators -­ (Selena Gomez)
Nyimbo za wasanii ambazo zimetajwa zaidi kwenye Twitter.
1. Pharrell Williams -­ Happy
2. John Legend -­ All Of Me
3. Nicki Minaj -­ Anaconda
4. Ariana Grande -­ Problem
5. Lady GaGa -­ ARTPOP
6. Magic! -­ Rude
7. Demi Lovato -­ Really Don’t Care
8. Beyonce -­ Drunk In Love
9. One Direction -­ Night Changes
10. Little Mix -­ Little Me
Album ambazo zimetajwa kwenye Tweet nyingi zaidi mwaka 2014:
1. Beyoncé, “Beyoncé”
2. 5 Seconds of Summer, “5 Seconds of Summer”
3. Taylor Swift, “1989”
4. Michael Jackson, “Xscape”
5. Ed Sheeran, “X”
6. Chris Brown, “X”
7. Coldplay, “Ghost Stories”
8. Rick Ross, “Mastermind”
9. The Vamps, “Meet the Vamps”
10. Ariana Grande, “My Everything”
Trend na Hashtag zilizoongoza mwaka 2014 ambazo zinahusiana na muziki:
1. #vote5sos
2. #MTVHottest
3. #VoteDemiLovato
4. #MTVEMA
5. #LHHATL
6. #SXSW
7. #EMABiggestFansJustinBieber
8. #VMAs
9. #RickyChat
10. #GRAMMYs
>>MillardAyo.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post