HAWA NDIO WASANII WALIO NA U ALLI KIBA NDANI YAKE, BOFYA HAPA KUWAJUA

Star huyo wa music wa kizazi kipya pia ni footballer Alli Kiba awataja wasanii wa kibongo alio wa inspire katika music huu wa kizazi kipya…
Alli Kiba
Alio wataja ni Mo Music,Husei Machozi,Timbulo,Sajna,Mirror,Rich Mavoko,mdogo wake Abdu Kiba… na wengine wengi ila akasema siwezi kuwataja wote

Ali Kiba anasema kila msanii ana ID yake ila bado kuna njia wanapita na ukiwafuatilia utajua wana u Alli Kiba ndani yao na walishawahi kumwambia baadhi yao na akawajibu hawakatazwi na akawaruhusu wafanye music kwasababu kitu kizuri huigwa siku zote

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post