YOUNG KILLER AITAMBULISHA RASMI "MATUNZO ZIRO UNIT" KWA KUTOA AUDIO HII HAPA - FURAHA YETU

Rappa anayewakilisha Rock City Mwanza amelitambulisha rasmi kundi lake la Matunzo Ziro Unit kwa kutoa wimbo wao wa kwanza Matunzo Ziro Unit Ft Young Killer-Furaha Yetu

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post