Unknown Unknown Author
Title: TAZAMA BAADHI YA PICHA AMBAZO ZIMO KWENYE KICHUPA CHA MWANA FA KIBOKO YANGU, NI SHEEDAH....!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Binamu aka The Choir Master, akimpaka hina mdada kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu' aliyemshirikisha ...
Kiboko Yangu Video shoot
Binamu aka The Choir Master, akimpaka hina mdada kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu' aliyemshirikisha Ali Kiba, video hiyo imefanyika jijini Nairobi.
Kiboko Yangu Video shoot
Ali Kiba, akiwa amezungukwa na warembo huku Binamu akionekana kwa nyuma kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu' ambayo Binamu aka The Choir Master, amemshirikisha Ali Kiba, video hiyo imefanyika jijini Nairobi.
Kiboko Yangu Video shoot
Ali Kiba, akiwa amezungukwa na warembo kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu' ambayo Binamu aka The Choir Master, amemshirikisha Ali Kiba, video hiyo imefanyika jijini Nairobi.
Kiboko Yangu Video shoot
Ali Kiba, akiwa na Binamu aka The Choir Master, kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu', video hiyo imefanyika jijini Nairobi.
Kiboko Yangu Video shoot

Kiboko Yangu Video shoot
Ali Kiba, akiwa na Binamu aka The Choir Master, kwenye moja ya scene ya video itakayo julikana 'Kiboko Yangu', video hiyo imefanyika jijini Nairobi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top