Unknown Unknown Author
Title: PICHA: AJALI MBAYA YAUA WATATU BUNJU B, DAR ES SALAAM
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Gari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva w...
AjaliGari aina ya Toyota VX likiwaka moto baada ya kuchomwa na wananchi mchana leo Bunju B jijini Dar kwa kusababisha ajali na kuuwa madereva watatu wa bodaboda.
Ajali
Wananchi wakiwa eneo la tukio baada ya gari aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo.
Ajali
... Gari Likiendelea kuteketea kwa moto. GARI aina ya Toyota VX imeua madereva watatu wa bodaboda mchana leo Bunju B, Dar na gari hiyo kuchomwa moto na wananchi!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top