Unknown Unknown Author
Title: MATOKEO YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA:: MANISPAA YA LINDI CCM YAIBUKA KIDEDEA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
HAYA NDIO MATOKEO YA UJUMLA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA MANISPAA YA LINDI WalioJiandikisha :: 27,686  ME = 12,809   KE = 14,...
Lindiyetu Blog News
HAYA NDIO MATOKEO YA UJUMLA YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KWA MANISPAA YA LINDI

WalioJiandikisha :: 27,686  ME = 12,809   KE = 14,877
Waliopiga Kura :: 23,272 (84.1%) ME = 11,387  KE = 11,885 (51.1%)

JUMLA YA MITAA 117, MITAA ILIYOFANYA UCHAGUZI 114, MITAA 3 HAIJAPIGA KURA
WAJUMBE WA VITI MAALUM 234

KADA YA UWENYEKITI
CCM = 81, CUF = 33

WAJUMBE MCHANGANYIKO KAMATI YA MTAA
CCM = 250, CUF = 83, CHADEMA = 1

WAJUMBE VITI MAALUM
CCM = 173, CUF = 60

MATOKEO YA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - LINDI

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top