KUSINI KUCHELE...ADHA YA USAFIRI BASI TENA.. BARAKA CLASSIC YASHUSHA BASI JIPYA

Kampuni ya Usafirishaji ya BARAKA CLASSIC leo hii imeweza kuongeza wigo wa Shughuli zake za Usafirishaji kwa Kuweza Kuongeza Moja ya Basi Moja Jipya kabisa aina ya Youtong ambalo Leo hii ineshuka katika Meli na Kupokelewa Bandari ya Dar es Salaam, Hakika wakazi wa Kusini mwa Tanzania Ile adha ya Usafiri sasa Inatoweka...Ukizingatia Umalizwaji wa Barabara ya Dar - Lindi inayomalizima kujengwa Hivi karibuni kwa Kiwango cha Lami.

Hakika Lindi Kuchele......!!!!! 



Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post