Unknown Unknown Author
Title: KOREA KASKAZINI YATISHIA KUISHAMBULIA IKULU YA MAREKANI KUFUATIA SHUTUMA ZA UDUKUZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujibu wa Korea Kaskazini, Rais Barack Obama amekurupuka kusambaza uongo kuwa nchi hiyo ilishiriki kufanya shambulio la mtandaoni ndani...
Kwa mujibu wa Korea Kaskazini, Rais Barack Obama amekurupuka kusambaza uongo kuwa nchi hiyo ilishiriki kufanya shambulio la mtandaoni ndani ya mifumo ya kampuni ya Sony Pictures.
KIM FANS
Pia imeonya kuishambulia ikulu, Pentagon na Marekani yote.

Marekani inaishutumu Korea kuhusika kwenye udukuzi huo ulioifanya Sony isitishe kufanya uzinduzi wa filamu yake, The Interview inayoongelea kuuawa kwa kiongozi wake, Kim Jong-un.Jeshi la Korea Kusini limeonya kuwa lipo tayari kutumia njia zote za kivita dhidi ya Marekani.

Korea Kaskazini imesema inafahamu jinsi ya kuthibitisha kuwa haihusiki na udukuzi huo na imependekeza uchunguzi wa pamoja na Marekani. Nchi hizo ziliwahi kuingia vitani mwaka 1950-53 kwenye vita vya Korea.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top