KIM KARDASHIAN AMPIKU BEYONCE KAMA STAA ALIYETAFUTWA ZAIDI MTANDAONI..!!!

Kim Kardashian
Kampuni ya Microsoft imetoa orodha ya vitu vilivyotafutwa zaidi mtandaoni mwaka 2014. iPhone 6, Facebook na Kim Kardashian wameongoza orodha hiyo.

Kwa upande wa watu waliotafutwa zaidi mwaka huu, Kim ameongoza kwenye top 5 yenye mwanaume mmoja tu.

Beyonce ambaye mwaka jana aliongoza, amekamata nafasi ya pili na kufuatiwa na Miley Cyrus, Katy Perry Justin Bieber.

JE INAWEZEKANA PICHA YAKE YA #BreaktheInternet IKAWA NDIO IMEMPA UMAARUFU? HEBU icheki hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post