Msanii wa Hip Hop Nchini Tanzania Nikki wa Pili anaetoka katika Kundi la WEUSI lenye maskani yake JIJINI ARUSHA ametoa video yake Mpya ya wimbo wake alioupa jina la "Sitaki Kazi" Video hiyo imetengenezwa Nchini Kenya na Director wa "Nje ya Box" kwajina anaitwa ENOS OLIK.
Enjoy the good Music