HAKIKA HUU NI MWAKA MZURI KWA DIAMOND PLATNUMZ, HII NI HABARI NYINGINE NJEMA

diamond platnumz
@diamondplatnumz yupo nominated kwa tuzo hizi zingine za nchini Nigeria #The_Headies kama #BestAfricanArtiste Kumpigia kura we bonyeza http://hiphopworldmagazine.com/theheadies/vote2014/ then weka screen rotate ktk cm yako km unaangalia video. Then shuka kwa chini huku unasoma categories hadi utakuta BEST AFRICAN ARTISTE. Utaclick kwa jina la diamond then click vote af subiri ifunguke, hapo watakuletea sehemu ya kujaza username na password usijaze wewe click walipoandka REGISTER

Hapo ikifunguka zitakuja space mbili moja ni ya USERNAME ambapo utaandika jina lako na ya pili ni EMAIL, hapa utajaza email yako then click REGISTER NOW. Utaenda kwa email yako watakuwa wamekutumia password. Utalogin xaxa kwa USERNAME ambayo uliandka mwanzoni (Jina lako) na PASSWORD waliyokutmia katika email. 

Hapo you will be safe kuvote. Make sure wanakuandikia THANK YOU FOR YOUR VOTE. BOFYA (http://hiphopworldmagazine.com/theheadies/vote2014/ to vote diamond on #The_Headies awards #BestAfricanArtiste ..)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post