HATIMAE SHILOLE "SHISHI BABY" AVALISHWA PETE YA UCHUMBA

Zuwena Mohamed “Shilole”
Mwigizaji na mwanamziki maarufu wa kike hapa Bongo, Zuwena Mohamed “Shilole” ambae ni mama wa watoto wawili usiku wa kuamkia leo asherehekea siku yake ya kuzaliwa maeneo ya Mikocheni jiji Dar, Pia amevishwa pete ya uchumba na mpenzi wake wa muda mrefu sasa, Nuh Mziwanda ambae pia ni mwanamziki.
 Zuwena Mohamed “Shilole”

Tunawatakia kila kheri wapendanao hawa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post