DAVIDO AWACHEFUA WAPENZI WA MUZIKI WA EAST AFRIKA KWA KITU HIKI HAPA

DAVIDO
Usiku wa December 07 Tanzania imechukua tena headline kwenye vyombo mbalimbali vya habari na hii ni baada ya Mtazania Idris kufanikiwa kushinda kwenye shindano la Big Brother Hot Shot 2014.
TUZO YA DIAMOND
Usiku huo huo baada ya ushindi wa Idris, Diamond alipost tuzo aliyoshinda Nigeria baada ya matukio hayo kufanyika, Hit Maker wa single kadhaa ikiwemo Skelewu Davido alipost kitu ambacho kimezua tafsiri tofauti tofauti.

Post ya Davido ilisomeka >>"N they Cheat again lol" baada ya muda mfupi post hiyo aliifuta ambayo bado Watanzania wamekua na maswali tofauti kuhusu hicho alichokiandika.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post