Moja ya watu walioweka comment zao baada ya kuiona video hii amesema hivi;
The BadgalRiri alikuwa anaelekea kwenye gari yake na hakuonekana kama alifurahishwa na mapaparazzi hao kumzonga mbele, hivyo akafanya maamuzi ya kumpiga mpiga picha mmoja.
Wapo wanaotafsiri kitendo hicho kama hasira na wengine wanadhani huenda hakuwa kwenye mood poa kukutana na flashlight ya kamera kwa wakati huo.
Kitendo alichokifanya staa wa Muziki Marekani Rihanna alipokuwa akitoka katika onyesho la mavazi 2014 British Fashion Awards kinaweza kikamgharimu kwenye kurasa za magazeti ya udaku duniani baada ya kumpiga mpiga picha aliyekuwa busy kumpiga picha staa huyo wakati anatembea kutoka nje ya ukumbi lilipofanyika onyesho hilo.“…Anyway, tusimhukumu mara zote kwenye njia negative kutokana na namna tulivyomzoea, huenda hakuwa kwenye mood…“
The BadgalRiri alikuwa anaelekea kwenye gari yake na hakuonekana kama alifurahishwa na mapaparazzi hao kumzonga mbele, hivyo akafanya maamuzi ya kumpiga mpiga picha mmoja.
Wapo wanaotafsiri kitendo hicho kama hasira na wengine wanadhani huenda hakuwa kwenye mood poa kukutana na flashlight ya kamera kwa wakati huo.

Tazama video hiyo fupi hapa chini!
Tags
WATU MAARUFU