USIKOSE KUFUATILIA SIMULIZI HII "KICHOMI CHA MOYO"

Kichomi cha Moyo
Simulizi hii inaelezea maisha ya msichana Sitande, katika safari yake ya mahusiano ya kimapenzi na changamoto alizokutana nazo, kuna msemo unasema "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu" ama msemo mwingine unasema "kipendacho roho, hula nyama mbichi", "kikulacho ki nguoni mwako" vilevile "Usilolijua ni sawasawa na usiku wa kiza kinene" misemo hii itadhihirika kupitia simulizi hii ya kusisimua ambayo pia itaonyesha tamu na chungu ya penzi katika safari ya maisha ya mapenzi. 
USIKOSE UHONDO KWA HISANI YA ADELA KAVISHE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post