Unknown Unknown Author
Title: BREAKING NEWS:: MSANII WA HIP HOP GEEZ MABOVU AFARIKI DUNIA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. ...

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Iringa, Geez amefariki jioni hii. Alienda kwao wiki moja na nusu iliyopita ambako alianza kuugua mfululizo. Baba yake mdogo Abbas Upete amethibitisha, naendelea kufatilia.

December 27 mwaka jana, hitmaker huyo wa Mtoto wa Kiume alizidiwa ghafla kabla ya show iliyokuwa ifanyike mjini Iringa kwenye ukumbi wa Twista Night Club alikokuwa atumbuiza na rappers wengine wakiwemo Wakazi, Songa, Jan B na Chidi Benz.

Baadhi ya Nyimbo alizotamba nazo ni Pamoja na Mtoto wa Kiume,

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top