Kutokana na Muongozo wa TCRA ambao umetolewa leo kwa bloggers kuhusu wakati huu tunapoelekea kwenye wa Mchakato wa Changuzi mbali mbali, blog hii imeonelea kufunga sehemu ya Comment za watu wasiyojulikana (Anonymous) ili kuepusha comments za uchochezi zinazoandikwa na watu wasioweza kutambulika haraka..
Hivyo basi kuanzia sasa utaweza kutoa comment yako kwa kupitia Facebook Comment Boxambayo ipo chini mwisho wa Habari au Unaweza kujiunga kwa kutumia Email yako ya Google na utaweza kuendelea kukomenti.
Asanteni
Blog Admin