Unknown Unknown Author
Title: SHETTA AKATAA COLABO YA ALLI KIBA, SOMA ALICHOKISEMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Shetta ni msanii ambaye karibia nyimbo zake zote alizotoa amewashirikisha wasanii mbalimbali wa nyumbani. Alimshirikisha Belle 9 kwenye ‘N...
Shetta ni msanii ambaye karibia nyimbo zake zote alizotoa amewashirikisha wasanii mbalimbali wa nyumbani. Alimshirikisha Belle 9 kwenye ‘Nimechokwa’, Rich Mavoko kwenye ‘Sina Imani’, Dully Sykes na Tunda ‘Mdananda’, Linah kwenye ‘Bonge la bwana’ na amemshirikisha Diamond katika nyimbo mbili ‘Nidanganye’ na ‘Kerewa’.
Shetta
Alipoulizwa kupitia Power Jams ya EA Radio kama ana mpango wa kufanya collabo pia na Ally Kiba, Shetta alijibu, “Sina mpango wa kufanya collabo na Alikiba”.

“nafikiria kuangalia collabo International kwasababu nimeshafanya collabo sana ngini na wasanii wa ndani, nafikiria sasa hivi inatosha..mawili nitoe nyimbo mwenyewe au nifanye na International artist.”
Shetta ameongeza kuwa kabla ya mwaka huu haujaisha atatoa ngoma mpya ambayo amesema kwasasa hawezi kusema kama itakuwa ni ya peke yake au collabo na msanii wa nje.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top