MZALIWA WA BURUNDI BERAHINO AITWA KUICHEZEA TIMU YA TAIFA YA UINGEREZA

Berahino
Mshambuliaji wa klabu ya West Brom ya Uingereza, Saido Berahino ametajwa katika kikosi cha England kwa mara ya kwanza na meneja Roy Hogson.
Berahino, 21, huenda akacheza mechi dhidi ya Slovenia ya kufuzu Euro 2016 kwenye uwanja wa Wembley Novemba 15.
Berahino, ambaye ni mzaliwa wa Burundi, amepachika mabao saba katika mechi kumi za ligi kuu ya England kwa timu yake ya West Bromwich Albion.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post