Unknown Unknown Author
Title: MACHINGA COMPLEX YAUNGUA MOTO, ANGALIA PICHA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Huu ni mfano wa Gari la Kikosi cha Zimamoto. Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam...
FIRE
Huu ni mfano wa Gari la Kikosi cha Zimamoto.

Taarifa zilizotufikia muda mfupi uliopita ni kuhusu tukio la ajali ya moto Dar es salaam. Kupitia kipindi cha XXL kinachorushwa na Clouds,mtangazaji Adam Mchomvu ametoa taarifa kuhusiana na jali ya moto iliyotokea katika jengo la Machinga Complex lililopo Ilala, Dar es saalam
ajali ya moto Dar es salaam
Chanzo cha moto huo mpaka sasa hakijafahamika na tunaendelea kufuatilia ili kukupa taarifa zaidi na hizi ni baadhi ya picha za tukio hilo.
ajali ya moto Dar es salaam

ajali ya moto Dar es salaam

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top