DAVIDO KARUDISHA FADHILA KWA MANAGER NA PRODUCER WAKE,CHEKI HAPA ZAWADI ALIZOTOA

Davido

Star wa Nigeria ambaye ni miongoni mwa wasanii wanaolipwa pesa nyingi zaidi kwa show Africa Davido amewanunulia manager na producer wake zawadi ya gari za kifahari.

Manager wake Kamal Ajiboye amepewa Mercedes 450 Gl na producer wake kapewa Porsch Cayenne.
Zawadi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post