CHID BENZ AWACHANA WOTE WANAOMSEMA VIBAYA, SIKILIZA NYIMBO YAKE HII MPYA

Huu ni wimbo mpya wa Chid Benz kautoa leo ikiwa ni siku chache tu toka atoke lupango ambapo alikua kashikiriwa kwa kosa la kukamatwa na madawa ya kulevya uwanja wa ndege wakati akitaka kusafiri. Wimbo huu umewalenga watu wote wanaomhukumu kwamba alikua au anatumia madawa ya kulevya.
Unaweza kuusikiliza wimbo huu hapa chini…….

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post