Unknown Unknown Author
Title: UMEIONA HII...???? HAKIKA UALIMU NI WITO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ofisi ya walimu shule ya sekondari Kikanda wilayani Kilwa mkoani Lindi,,Ualimu no wito!!!!!! Jamii Yangojea serikali!!!! Na hili ni...
Ofisi ya walimu shule ya sekondari Kikanda wilayani Kilwa mkoani Lindi,,Ualimu no wito!!!!!!
Jamii Yangojea serikali!!!! Na hili ni jiko la sekondari Miteja huko Kilwa
Wakati kilwa wakingojea serikali wilayani Nachingwea kukamilisha ujenzi wa maabara 2 shule ya wasichana Nachingwea kupitia ushirika makato ya zao la korosho.
(Picha na Abdulaziz lindi)

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top