Unknown Unknown Author
Title: WIZARA YA MALIASILI YABARIKI KUANZISHWA KWA MFUKO WA KULINDA MLIMA KILIMANJARO NA MLIMA MERU.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazin...
mariasili
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa kikao kilicho shirikisha Kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Wabunge katika majimbo ya mikoa ya Arusha na Kilimanjaro,Wakuu wa wilaya zinazopakana na mlima Kilimanjaro na mlima Meru,TANAPA na Idara ya Misitu,(kulia)ni kaimu mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro ,Ibrahim Msengi.
mariasiliNaibu waziri wa TAMISEMI ambaye pia ni mbunge wa jimbo la Siha ,akichangia wakati wa kikao cha kuanzishwa kwa mchakato wa uanzishwaji mfumo wa kiikolojia wa mlima Kilimanjaro na Mlima Meru ambao utalinda milima yote miwili.
mariasiliMakamau mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Ardhi,Maliasili na Mazingira,Abdulkarim Shah akizungumza katika kikao hicho kimetokana na wabunge wa mkoa wa Kilimanjaro kuomba kuanzishwa kwa mfuko wa kulinda mlima Kilimanjaro.
mariasiliBaadhi ya washiriki wa kikao hicho kilichofanyika katika Hotel ya Sal salnero wakifuatilia michango mbalimbali iliyokuwa ikitolewa katika kikao hicho.
mariasiliMbunge wa Jimbo la Vunjo ,Agustino Mrema akichangia hoja katika kikao hicho.
mariasili
Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar akichangia katika uanzishwaji wa mfuko huo.
mariasili
Katibu wa Mbunge wa Moshi mjini,Basil Lema akichangia jambo katika kikao hicho akiwa amemwakilisha Mbunge Philemoni Ndesamburo.
mariasili
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ambaye pia ni mkuu wa wilaya ya Moshi Ibrahimu Msengi akichangia katika uanzishwaji wa mfuko wa kulinda mlima Kilimanjaro na mlima Meru.
mariasili
Mkuu wa wilaya ya Rombo Elinasi Palangyo akizungumza katika kikao hicho,wilaya ya Rombo ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima Kilimanjaro.
mariasili
Mkuu wa wilaya ya Siha Dk ,Charles Mlingwa akizungumza katika kikao hicho,wilaya ya Siha ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima Kilimanjaro.
mariasili
Mkuu wa wilaya ya Hai,Novatus Makunga akizungumza katika kikao hicho,wilaya ya Hai ni moja ya wilaya ambazo zinapakana na mlima Kilimanjaro.
mariasili
Mbunge wa Arumeru Mashariki ,Joshua Nassar,akiwa pamoja na Mbunge Suzan Kiwanga na katibu wa Mbunge wa jimbo la Moshi mjini ,Basil Lema.
mariasili
Washiriki wa kikao hicho wakifuatilia majadiliano.
mariasili
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akihitimisha kikao cha majadiliano juu ya kuanzishwa kwa mfuko wa kulinda mlima Kilimanjaro na Mlima Meru.Na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii kanda ya kaskazini.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top