
November 30, 2013, mida ya 3:30 p.m ni siku ambayo wadau wa Movie za Action walimpoteza Actor wa Movie za Fast and Furious Paul Walker kwa ajari ya gari, Ikiwa leo ni tarehe ambayo Actor Paul Walker alizaliwa Vin Diesel amepost video ikionesha tukio la mwisho la birthday waliomfanyia Paul Walker katika Garage yao ya kutengenezea gari zao.
Post by Vin Diesel.
Tags
HABARI ZA WASANII