KIFARU CHA JWTZ CHAUWA WATU 3 HUKO MNOLELA MKOANI LINDI

ajali lindi
Ajali ya kifaru kuacha njia na kugonga nyumba 2 na kusababisha vifo-Mnamo tarehe 10/9/2014 saa 05.30hrs huko Mnolela barabara ya Mingoyo/Mtwara gari No. 018 APC mali ya JWTZ kikosi no.83 REGET likiendeshwa MT 99241 Priv. Shadhil Nandonde liliacha njia na kugonga nyumba 2 na kusababisha vifo vya watu 3.
ajali lindi
Askari No. MT 10728 Pr.Pascal Komba na Somoe d/o Hassan Kamtaule, makonde, 75yrs, mkulima wa Mnolela Lindi aliyekuwa ndani ya nyumba.

Majeruhi 

  1. MT 10744 Pr.Simon Edward, 
  2. MT.106842 pr.Feruz Haji 
  3. MT 1077263 Pr.Omary Makao 
  4. MT.99018 Pr.Mbaruk Duchi 
  5. MT.107442 Pr.Simon Masele 
  6. MT.107218 Pr.Ndekenya r 
  7. MT.99241 Pr.Shadhil Nandonde dereva.
Chanzo cha ajali kinachunguzwa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post