MANCHESTER CTY YACHAPWA BAO 1 - 0 NA STOKE CITY LIGI KUU ENGLAND

MAN CITY VS STOKE CITY
Mabingwa wa England, Manchester City wameanza kuonja joto ya jiwe wa Ligi Kuu England baada ya leo kulala kwa bao 1-0. 
MAN CITY VS STOKE CITY
Stoke City ambao waliinyanyasa Man City msimu uliopita, leo ‘wameifanyia mbaya’ kwa kuichapa kwa bao 1-0 tu. 
MAN CITY VS STOKE CITY
Mame Diouf ndiye alikuwa shujaa wa Stoke City waliokuwa nyumbani baada ya kuwapangua viungo na mabeki wa wageni wao kabla ya kupachika bao akipiga mpira uliompita kipa Joe Hart katikati ya miguu yake, unaweza kusema tobo. 
MAN CITY VS STOKE CITY
Juhudi za Man City kutaka kuchomoa 'kashfa' hiyo ziligonga mwamba.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post