
Msanii wa Uganda, Jose Chameleone jana alizikonga nyoyo za wapenzi wa muziki jijini Dar es Salaam kwa show yake kali iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Maisha Club. Katika show hiyo, Chameleone alisindikizwa na wasanii wengine wakiwemo Vanessa Mdee, Mirror, Ferouz na Professor. Watu kibao walijitokeza kushuhudia show hiyo na hizi ni picha zake.

Vanessa Mdee akiwa na dancers wake wakitumbuiza
Vanessa alipiga show nzuri sana

Jose Chameleone alivyopanda jukwaani

Jose Chameleone akicheza pamoja na mashabiki aliowapandisha jukwaani

Barnaba alikuja kuangalia show ya Jose Chameleone

TID Mnyama alipanda stejini na kumpa sapoti Jose Chameleone

TID alipanda ghafla stejini nakuanza kucheza na kusalimia mashabiki alipata shangwe za kutosha

Jose Chameleone mizuka ilipanda akaamua kushuka stejini na kuwafuata mashabiki nakuanza kucheza nao

Jose Chameleone akiimba na shabiki na kucheza naye

Jose Chameleone na Ferouz wakiimba pamoja

Professor Jay alivyopanda stejini alipata shangwe za kutosha, hapa akimpa hug Jose Chameleone

Mirror naye alikuwepo kumoa kampani Chameleone

Watu walijitokeza kwa wingi sana
Tags
HABARI ZA WASANII