BREAKING NEWS: BASI LA MASHALLAH LAPATA AJALI

Na Abdulaziz ,Lindi
Basi la Mashallah linalofanya safari zake kati ya DAR Kwenda kilwa lapata ajali jioni hii likiwa safarini kutoka dar kwenda Kilwa. Chanzo cha Ajali limegongana na Gar dogo na kupinduka.
ajali
ajali

ajali

ajali

ajali
ajali

Hakuna vifo....
Habari zaidi tutawajuza

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post