ANGALIA RONALDO ALIVYOSHEREHEKEA TUZO YAKE YA UFALME WA SOKA ULAYA

 Cristiano Ronaldo

 Cristiano RonaldoCristiano Ronaldo akifurahia na tuzo yake
 Cristiano RonaldoRonaldo (katikati) akifurahia baada ya kushinda. kushoto ni wachezaji wa Bayern Munich, kipa Mjerumani Manuel Neuer na winga Mholanzi Arjen Robbe kulia
 Cristiano RonaldoBusu kwenye tuzo: Nyota wa Ureno na Real Madrid, Cristiano Ronaldo akibusu tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya kukabidhiwa usiku wa jana mjini Monaco, Ufaransa
 Cristiano Ronaldo

Nyota wa Ureno na Real madrid, Cristiano Ronaldo akiwamwenyefuraha akiangalia uandikwaji wa jina lake katika tuzo yake ya Mwanasoka Bora wa Ulaya baada ya Kutangazwa kuwa Mshindi wa Tuzo hiyo Hapo jana Mjini Monaco

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post