Unknown Unknown Author
Title: THT YAFANYA HAFLA YA KUMUAGA MSANII LINAH
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akiongea katika hafla ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 kutoka kw...
hafla ya kumuaga linah
Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akiongea katika hafla ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 kutoka kwao na kuelekea kampuni ya No Fake Zone (NFZ) ambao ndiyo wanaanza kumsimamia msanii huyo pamoja na kazi zake.
hafla ya kumuaga linah
Mkurugenzi wa Tanzania House Of Talent (THT) Ruge Mutahaba akimkabidhi cheti cha heshima msanii wa kizazi kipya,Mwasiti kwa kuwa msanii mwenye nidhamu kubwa kutoka chuo cha kipaji cha THT kwa muda mrefu.
hafla ya kumuaga linah
Mmoja wa Maprodyuza mahiri kutoka THT ajulikanae kwa jina la kisanii Imma ze Boy akikabidhiwa cheti chake cha kuwa kijana anaejituma kwa moyo moja katika suala zima la utendaji kazi ndani ya kituo cha THT.
hafla ya kumuaga linah
Vyeti vya heshima vilikwenda na hata kwa vijana wanaochipukia ndani ya THT
hafla ya kumuaga linah
Msanii Lameck Ditto akipokea cheti chake cha heshima (kijana mwenye nidhamu ndaniya kituo cha THT) kutoka kwa Mkurugenzi wa THT,Ruge Mutahaba.
hafla ya kumuaga linah
MKurugenzi wa Kampuni ya NO FAKE ZONE,Abby akizungumza jambo mbele ya wageni waalikwa mbalimbali wakiwemo wanahabari,wadau na wasanii wa filamu na muziki,katika hafla ya kumuaga msanii Linah jana Julai 16, 2014 ambaye anahamia hiyo,itakayokuwa ikisimamia kazi zake za msanii huyo.Linah pia alizindua video yake mpya chini ya kampuni NFZ iitwayo OLe Themba.
hafla ya kumuaga linah
Msanii Linnah akizungumza.
hafla ya kumuaga linah

hafla ya kumuaga linah
Mwenyekiti wa Bongomuvi Steve Nyerere akizungumza jambo na Wadau wa Muziki
hafla ya kumuaga linah
Wasanii na Wadau wa muziki wakifuatilia uzinduzi wa video mpya ya Msanii Linah
hafla ya kumuaga linah
Wageni waalikwa wakifuatilia uzinduzi wa vido mya ya Linah iitwayo OLe Themba
hafla ya kumuaga linah
Wadau wa Muziki sambambana Wanamuziki walikuwepo kushuhudia tukio hilo likiwemo la uzindui wa video mpya ya msaani Linah
hafla ya kumuaga linah
Baadhi ya wageni waalikwa mbalimbali wakifuatilia yaliyokuwa yakijiri ukumbini humo.
hafla ya kumuaga linah
Wageni waalikwa wakiendelea kufuatilia yaliyokuwa yakijiri wakati wa uzinduzi wa video mpya ya Msanii Linah iitwayo Ole Themba
hafla ya kumuaga linah
Baadhi ya wanahabari waliokuwa wakirekodi tukio hilo adhimu

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top