Unknown Unknown Author
Title: MABASI YENYE TV KILA SITI YAINGIA TANZANIA. CHEKI HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi ...
Mabasi yenye TV kila siti
Katika ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia tunaweza shangaa mengi ama kufurahia mambo mengi yakizidi kurahisishwa katika vitu vingi tuvitumiavyo. Zamani haikuwa rahisi hata kuipata gari yenye hata Televisheni moja lakini hivi sasa mambo si kama enzi za zama za kale.
Mabasi yenye TV kila siti
Hivi sasa tunapata kujionea kewenye magari haya ya kampuni moja inayofanya safari zake za kusafirisha abiria kwenda Tanga. Wameleta mabasi yenye Televisheni katika kila kiti cha abiria. Raha ilioje hii..? Na zaidi sasa magari hayo mengi yana soketi za umeme katika kila kiti ambapo utaweza kuchaji simu yako huku ukisafiri.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

  1. Kama mliamua kutujuza habari hii,itakuwa sio vibaya endapo mkitutajia pia majina ya mabasi hayo.Ili hata mtu akihamasika asipate shida kupata basi la namna hiyo,

    ReplyDelete

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top