Abiria wakiwa wanajichimbia njia yao ili waanze kupita |
Abiria wakiwa wanaendelea kuchimba njia muda huu |
Magari yameanza kupita porini baada ya kushindikana kutolewa kwa Lori hilo lililoziba Barabara |
Mengine yakikatiza kwenye mashamba ya watu |
Lori hilo likiwa limeziba njia muda huu |
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.