Habari za hivi punde zinasema kuwa FIFA imemuadhibu Suarez kwa kumfungia mechi tisa na miezi 4 za kuto jihusisha na shughuli za mpira wa miguu na kulipa faini ya franc laki moja. Je unadhani adhabu hiyo ni stahili yake?
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...
Miez mi4 ming sn isee
ReplyDelete