SHEDDY CLEVER ALIA NA WAANDAAJI WA KTMA 2014 KWA KUMYIMA TUZO, SOMA ALICHOKISEMA

Producer Sheddy Clever ambae ni Mwandaaji wa Wimbo wa Diamond Number 1 uliochukua Tuzo Nyingi katika Tuzo za Kilimanjaro Awards zilizofanyika Juzi, Ameonyeshwa kukerwa Kwa Kukosa Tuzo ya Producer Bora Wakati Wimbo huo Umechukua Tuzo Nyingi ikiwemo ya Wimbo Bora , Amekaririwa akisema "Sasa ndugu zangu inakuwaje nisipewe tuzo ya Muandaaji bora wa Music wakati Number one imekuwa mwimbo bora wa Mwaka..na imemfanya Diamond Apate Tuzo Tano?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post