Unknown Unknown Author
Title: PRO. JAY NA JOSE CHAMELEON WAINGIA STUDIO KUFANYA WIMBO MPYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ ...
Joseph Haule aka Profesa J na Jose Chameleone ni marafiki wa siku nyingi. Chameleone aliwahi kutumia beat ya wimbo wake ‘Nikusaidieje’ kurekodi wimbo aliomshrikisha mdogo wake Weasel, Bomboclat. 
Na sasa Jose hao wawili wamekutana kufanya wimbo wa pamoja
Kupitia Instagra, Profesa Jay ameandika: "Ndani ya Mwanalizombe Studio usiku sana,Professor Jay Josechameleon @lamarfishcrab @producer villy,Shidaa mpya inakuja!!! STAY TUNED, Dar East African HEAVY WEIGHTS, Stay Tuned,mpaka waombe poooh !!!!”
Chameleone alikuwa nchini kuhudhuria tuzo za Kili ambapo alishinda tuzo ya wimbo bora wa Afrika Mashariki.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top