Askari wa Usalama barabarani eneo la Makumbusho, Dar wakimpiga Dereva wa gari ambaye amejitambulisha kama mwanajeshi! Tukio hili limetokea mida ya saa 9 mchana huu. Bado haieleweki chanzo ni nini.Je, unadhani hivi ndivyo askari wetu wanatakiwa kutekeleza majukumu yao?
Tags
HABARI ZA KITAIFA
