Askari wa usalama barabarani akitimiza jukumu lake eneo korofi la shimo linalosababisha misululu Magomeni.
Shimo hili limesababisha magari kupata pancha maeneo ya Mwenge.
Huu ndiyo muonekano halisi wa namna magari yanavyokwepa shimo hili maeneo ya Magomeni.
Si bodaboda wala gari inayoweza kupita eneo hili la Magomeni, lililojaa maji kwa kuhofia ajali.
Waenda kwa miguu maeneo ya Magomeni wakikwepa shimo lililochimbika katikati ya barabara.
(Picha zote na Gabriel Ng’osha/GPL)
Tags
HABARI ZA KITAIFA




