Msanii wa kizazi Kipya Nchini Tanzania ajulikanaye kama Kamikaz Cyrill ametoa single yake Mpya ambayo ameipajina la Alowa Hebu Isikilize hapo Chini na Unaweza Kuidownload Pia.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...