Unknown Unknown Author
Title: HIVI NDIVYO HAYATI MICHAEL JACKSON ALIVYOTUMBUIZA KWENYE TUZO ZA BILLBOARD, CHEKI VIDEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kwa nguvu ya teknolojia, mashabiki wa muziki waliohudhuria tuzo za muziki za Billboard Jumapili iliyopita (May 18) huko Las Vegas, Mareka...
Michael Jackson
Kwa nguvu ya teknolojia, mashabiki wa muziki waliohudhuria tuzo za muziki za Billboard Jumapili iliyopita (May 18) huko Las Vegas, Marekani walipata nafasi ya kushuhudia live show ya kipenzi cha dunia hayati Michael Jackson ambaye pamoja na kuwa hayuko hai lakini alitumbuiza jukwaani kwa mfumo wa hologram.


Barani Afrika teknolojia hiyo iliwahi kutumika kwa mara ya kwanza mwaka jana nchini Afrika Kusini, ambapo Hayati Brenda Fassie alitumbuiza kwa njia hiyo katika ‘Hansa Pilsner Festival Legends’ mwezi march 2013 huko Johannesburg.

Kufahamu zaidi kuhusu teknolojia ya hologram ingia hapa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top