HATIMAE NDOA YA WEMA SEPETU NA DIAMOND PLATNUMZ YAWEKWA WAZI, MWENYEWE AFUNGUKA SOMA HAPA

Wema na Diamond
Diamond Platnumz Katika mahojiano yake aliyoyafanya wiki mbili zilizopita katika Kituo kimoja cha Radio Mkoani Mtwara alifunguka Juu ya Kufunga Ndoa na Mpenzi wake wa Siku nyingi Wema Sepetu napia alizungumzia Kuhusiana na Kutoamini mambo ya Kishirikina katika Kazi zake kwani yeye Anafnya juhudi ndio maana anafanikiwa na si kitu Kingine katika hilo.


Msikilize mwenyewe hapa akizungumzia mambo hayo::

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post