Diamond Platnumz Jana alikinukisha pande za Manispaa yaMtwara kwa Bonge la show ambayo imeandika Historia Mpya kwa Mkoa huo kwa kuwa na watu wengi kuliko Show zote zilizowahi kufanyiika Mkoani Humo, Msanii huyo aliongozana na Mpenzi wake Wema Isack Sepetu. Show hiyo Ilifanyika Makonde Beach.
NEY WA MTWARA AKIIMBA MUZIKI GANI NA DIAMOND PLATNUMZ
DJ BWEGE KWENYE MOJA NA MBILI
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.