Unknown Unknown Author
Title: DIVA ATUPIA PICHA TATA YAKIMAHABA MTANDAONI NA KUSEMA HAYA....!!!! JE UNGEKUWA WEWE UNGECHUKUA HATUA GANI?
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kweny...
Penzi la mastaa wetu wa bongo, Diva ambaye ni mtangazaji wa Clouds FM na King Crazy GK ambaye ni msanii wa bongo flava, Limeingia kwenye mtego baada ya Diva kuweka PICHA kwenye ukurasa wake wa INSTAGRAM akiwa ana KISS na mfanyakazi mwenzake a k a Handsome wa Cloudsfm....PATAMU HAPO...Kwa kuelewa kuwa picha hii ni tata, Diva aliandika maneno haya jini ya picha hiyo; 
"handsome boy wa cloudsfm ... My baby akiona hii Picha je? unahisi atakasirika au?! lol"
...Tunasubiri kusikia upande wa GK.......Dah!! ila huyu mdada PRESHAPRESHA
>>doomozege

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top